Njia Mpya ya Kutengeneza Pesa Mtandaoni Kupitia Simu yako

By MZ TECHNOLOGY
Fri, 21-Oct-2022, 13:42

MZ Technology tayari tumeshawahi kufundisha njia mbalimbali za kupata pesa mtandaoni ikiwa pamoja na njia za kuanza biashara mtandaoni. Lakini njia zote hizo ambazo tumewahi kuzionyesha kwa namna moja ama nyingine ni lazima itakuta inahusisha tovuti au application ya nje ya nchi

 Leo tunaenda kufundisha jinsi ya kutengeneza pesa kupitia application ya kwako mwenyewe cha kufanya unapaswa kutengeneza application ambayo itaweza kutatua changamoto au kutimiza mahitaji ya watu kwa mfano unaweza kutengeneza application ya kucheza magame,kuchati,kutazama video, TV online,Radio online nk.. Uka iweka Google play store, ada ya kulipia Google play store ni $25

application ikiwa Google play store itakusaidia kupata watu wengi wa ku Download badara ya wewe kutumia nguvu kubwa kushare link kutafuta watu baada ya hapo unaiwekea matangazo yapo makampuni mengi ya matangazo na makampuni mengi yanayo lipa vizuri yana hitaji application yako uiweke Google play store

Hakuna vigezo vingine ukikamiliaha hayo unajiunga kwenye kampuni la matangazo ulilo penda unapewa code za matangazo unaziunganisha kwenye application yako unaanza kutengeneza pesa

jinsi unavyo ingiza kipato ni kutokana na wingi watu walio Download na kutumia application yako 

Hii ni njia ya uwakika itakayo kutengenezea pesa ndefu bila kufanya kazi yoyote hii application itakuwa ikitoa huduma kwa watu kadili watu wanavyo itumia ndivyo wewe unavyo tengeneza kipato chako 

watu wana tengeneza mpaka Dora 300-500 kwa mwezi kulingana na wingi wa watu wanao tumia application yake 

Haya sio mambo ya kufikilika ni uharisia inawezekana upo tu nyumbani huna kazi au umemaliza sekondali au chuo huna ajira unangoja nini wakati una smartphone jiajiri sasa kupitia smartphone yako 

Inawezekana mwingine anatengeneza application lakini anashindwa kulipia $25 Google play store ili aweze kuingiza application yako au huna ujuzi wa kutengeneza application lakini unapenda kumiliki application uweze kutengeneza pesa njoo inbox kama uko siliasi tukusaidie kutengeneza kwa gharama nafuu kama una swali uliza kama umeelewa waweza kutujuza maazi yako baada kujifunza kumbuka maisha ni kuthubutu anza leo.

Tags:

#post

Related Habari

This site was designed with Websites.co.in - Website Builder

WhatsApp Google Map

Safety and Abuse Reporting

Thanks for being awesome!

We appreciate you contacting us. Our support will get back in touch with you soon!

Have a great day!

Are you sure you want to report abuse against this website?

Please note that your query will be processed only if we find it relevant. Rest all requests will be ignored. If you need help with the website, please login to your dashboard and connect to support

;