JINSI YA KUFANIKIWA KATIKA MAISHA

By MZ TECHNOLOGY
Fri, 21-Oct-2022, 13:48

🙏JITAHADA, UTHUBUTU, BIDII NA KUJIJENGEA UWEZO BINAFSI NDIO SIRI YA MAFANIKIO✊✊💪

✍️Watu tunaowaona wamefanikiwa leo, tunadhani wana bahati au wamepata mafaniko wa bahati tu. Lakini ukifuatilia utakuja kugundua walikaa miaka kadhaa ndipo wakafanikiwa yaani walifanya kazi ngumu kuyafikia mafanikio tunayoyaona kwao leo na iliwachukua miaka mingi na juhudi kubwa.

 ✍️Nidhamu waliyokuwa nayo ya kufanya vitu vidogovidogo kila siku ndiyo iliyowafikisha kwenye mafanikio makubwa waliyo nayo kwa sasa.

*FANYA KAZI KWA BIDII, JUHUDI, UVUMILIVU NA AKILI NYINGI UTAFANIKIWA SANA*.

1. Wekeza muda wako kwenye kazi na kujifunza mambo mapya kila Siku.

2.Hakikisha Unafanya ujasiriamali wenye tija na mafanikio.

3. Jitoe kwa kufanya kazi za jamii ili kujijengea watu sahihi na watakaoambatana na wewe kwenye mafanikio.

4. Shiriki shughuli za hisani na jamii zinzolenga kuleta mabadiliko chanya.

5. Tembea kwenye ndoto na maono yako na uwe na shauku ya kweli ya mafanikio.

6. Jifunze kwa kuongeza maarifa mapya zaidi na ubunifu mwingi katika shughuli zako.

7. Thubutu kwa kufanya mambo ambayo wengine wanaona hayawezekani au wanaona magumu.

8 njoo inbox nkupe wazo la biashara mtandaoni kutengeneza pesa laki mbili na kuendelea kwa mtaji wa elf 10.

ANZA LEO TIMIZA NDOTO ZAKO..✍️

Tags:

#post

Related Habari

This site was designed with Websites.co.in - Website Builder

WhatsApp Google Map

Safety and Abuse Reporting

Thanks for being awesome!

We appreciate you contacting us. Our support will get back in touch with you soon!

Have a great day!

Are you sure you want to report abuse against this website?

Please note that your query will be processed only if we find it relevant. Rest all requests will be ignored. If you need help with the website, please login to your dashboard and connect to support

;